Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,494
- 55,143
Mkuu acha kabisa .Poor Brain huu uzi sio wetu, usijaribu kusogeza pua hapa.
Hawa madogo wanaongelea vitoto vya afu mbili.
Tunaishi hapahapa, mjomba wake kaja kutujulia hali juzi tu hapa.Mkuu acha kabisa .
Kwanza naskia umepata mdada wa rwanda unakula maisha tuu mkuu..
Vipi utaingia rwnda kaka ππππππ
ππππππ Daaah jamaa una bahati sana aiseee sijapata kuona etTunaishi hapahapa, mjomba wake kaja kutujulia hali juzi tu hapa.
Ati ana undugu na PaKa
Njoo vingunguti wamejaa teleππππππ Daaah jamaa una bahati sana aiseee sijapata kuona et
Wamama ka hao unapataga wapi mkuu
Hapa mtaa kuna limama huwa linataka huduma sana ila sasa mpaka naogopa maana hapa mtaani nishavuka ile barrier ya kijana wa hovyo an wakiniona na huyu tena wanaweza hisi nina dawa maana ni maza wa duka la dawa..Njoo vingunguti wamejaa tele
We kijana mganga aliekurogerezea mimama ashakufa, hamna tiba dadeki ππHapa mtaa kuna limama huwa linataka huduma sana ila sasa mpaka naogopa maana hapa mtaani nishavuka ile barrier ya kijana wa hovyo an wakiniona na huyu tena wanaweza hisi nina dawa maana ni maza wa duka la dawa..
Hii mdo inafanya nije huko mkuu
Ukiwa na sasampa unatembea na mamlaka..Naona umedislike.
Naomba niongezee.
Bro Kila mtu ana pisi kali yake.
Ila Pia jua Pisi ambayo ww unaona kali pamoja na kujiamini kwako inaweza kuwa ya kawaida tu kwa Busu la Kenge na isimsumbue.
Na Kujiamini tu hakutoshi.
Labda kwa hao wasichana wadogo.
Ila Ukikua utajua kuwa bila SASAMPA Huwez kujiamini.