Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,305
- 29,852
Najuta why nimetoka bongo maana mda huu nikiwa Namibia mji wa Windhoek nimepewa taarifa na wazawa wa katavi wanasema msimu huu kosakosa gunia za mahindi sio chini ya Mia Tatu, mvua zinatwanga vibaya mno
Nami nikaona nitumie fursa hii kuwakumbuka watoto wa mjini tuliokaa nao kwenye vijiwe vya kahawa Kwa mda mrefu waondoke Kwa mda mda tu jiji la dar Es salaam waende vijijini kuanza kulima, kilimo kinaokoa sana sasa hawa madogo mda wote utawakuta wapo makumbusho kwenye maduka ya watu kila siku wapo sinza, kinondoni, Kariakoo kununua new outfit style kulima hawataki
Wanakesha small planet, kidimbwi, wavuvi camp, samaki samaki, kudowea Heineken na savanna za wanaume wenzao ukisema twende shinyanga Kuna majaruba ya kulima mpunga wanakuita wa pori nawakati hata wakuu wa nchi wanamashamba na wanalima
Vijana tokeni apo Kariakoo, upo na kikomputa chako hicho kujidai unatengeneza simu mbovu kumbe unaiba spair unaweka feki, kazi kufosi tu maisha yashawashinda.. Ngoja siku nikija bongo mniombe pesa za bia muone nitakavyowatukana nyoro nyie