Vijana mliopo Dar nendeni Katavi mkalime, mvua inamwagika

Bonge la ushauri tatizo vijana hawataki kutumia nguvu na akili zao kuleta maendeleo wao wanaona ni angalau ashikishwe ukuta kuliko kwenda shamba.
Najuta why nimetoka bongo maana mda huu nikiwa Namibia mji wa Windhoek nimepewa taarifa na wazawa wa katavi wanasema msimu huu kosakosa gunia za mahindi sio chini ya Mia Tatu, mvua zinatwanga vibaya mno

Nami nikaona nitumie fursa hii kuwakumbuka watoto wa mjini tuliokaa nao kwenye vijiwe vya kahawa Kwa mda mrefu waondoke Kwa mda mda tu jiji la dar Es salaam waende vijijini kuanza kulima, kilimo kinaokoa sana sasa hawa madogo mda wote utawakuta wapo makumbusho kwenye maduka ya watu kila siku wapo sinza, kinondoni, Kariakoo kununua new outfit style kulima hawataki

Wanakesha small planet, kidimbwi, wavuvi camp, samaki samaki, kudowea Heineken na savanna za wanaume wenzao ukisema twende shinyanga Kuna majaruba ya kulima mpunga wanakuita wa pori nawakati hata wakuu wa nchi wanamashamba na wanalima

Vijana tokeni apo Kariakoo, upo na kikomputa chako hicho kujidai unatengeneza simu mbovu kumbe unaiba spair unaweka feki, kazi kufosi tu maisha yashawashinda.. Ngoja siku nikija bongo mniombe pesa za bia muone nitakavyowatukana nyoro nyie
 
Mkuu,
Nimepungukiwa nauli nichangie japo 20k
Ili niondoke mapema kabla ya 8Dec nauli hazijapanda niwai mvua katavi😊😊☺️☺️
 
Kama hujafanya hizi shughuli usipotoshe watu.

By the way mtoa mada katoa ushauri.
Hakuna mtu analazimishwa kazi.
Mkuu kilimo ni biashara kama biashara zingine zinahitaji mtaji na pia kusubiri ili uweze kuhudumia shamba lako kama mtaji ndio huo huo wa kula ukilima wewe utakula nimi na shamba linahitaji mahitaji yake muhimu..
 
Back
Top Bottom