Vijana mliopo Dar nendeni Katavi mkalime, mvua inamwagika

Najuta why nimetoka bongo maana mda huu nikiwa Namibia mji wa Windhoek nimepewa taarifa na wazawa wa katavi wanasema msimu huu kosakosa gunia za mahindi sio chini ya Mia Tatu, mvua zinatwanga vibaya mno

Nami nikaona nitumie fursa hii kuwakumbuka watoto wa mjini tuliokaa nao kwenye vijiwe vya kahawa Kwa mda mrefu waondoke Kwa mda mda tu jiji la dar Es salaam waende vijijini kuanza kulima, kilimo kinaokoa sana sasa hawa madogo mda wote utawakuta wapo makumbusho kwenye maduka ya watu kila siku wapo sinza, kinondoni, Kariakoo kununua new outfit style kulima hawataki

Wanakesha small planet, kidimbwi, wavuvi camp, samaki samaki, kudowea Heineken na savanna za wanaume wenzao ukisema twende shinyanga Kuna majaruba ya kulima mpunga wanakuita wa pori nawakati hata wakuu wa nchi wanamashamba na wanalima

Vijana tokeni apo Kariakoo, upo na kikomputa chako hicho kujidai unatengeneza simu mbovu kumbe unaiba spair unaweka feki, kazi kufosi tu maisha yashawashinda.. Ngoja siku nikija bongo mniombe pesa za bia muone nitakavyowatukana nyoro nyie
Na mahindi mwakani gunia lazima lifike Tsh.40000 mpaka 35000.

Ruto kazuia mpaka hakuna mahindi kuingia Kenya kwani na wao wamelima vizuri time hii.

So ukiingia usiende mzimamzima.
 
Umewahi kulima?
NImelima nimeuza mahindi pana mwaka Mzee Magu alipoweka katazo la mahindi kwenda Nairobi nilipata tabu kidogo maana ilibidi mzigo wote niutunze kwenye godown za watu na unalipia ili kusubiri bei ipande harafu unanunua dawa ili kuyatunza aisee muda mwingine dawa zenyewe zinakuwa feki ukienda kukagua unaona mahindi yameliwa..na wapo wadudu ambao wakishambulia mahindi kuwaua ni kazi sana...
 
Najuta why nimetoka bongo maana mda huu nikiwa Namibia mji wa Windhoek nimepewa taarifa na wazawa wa katavi wanasema msimu huu kosakosa gunia za mahindi sio chini ya Mia Tatu, mvua zinatwanga vibaya mno

Nami nikaona nitumie fursa hii kuwakumbuka watoto wa mjini tuliokaa nao kwenye vijiwe vya kahawa Kwa mda mrefu waondoke Kwa mda mda tu jiji la dar Es salaam waende vijijini kuanza kulima, kilimo kinaokoa sana sasa hawa madogo mda wote utawakuta wapo makumbusho kwenye maduka ya watu kila siku wapo sinza, kinondoni, Kariakoo kununua new outfit style kulima hawataki

Wanakesha small planet, kidimbwi, wavuvi camp, samaki samaki, kudowea Heineken na savanna za wanaume wenzao ukisema twende shinyanga Kuna majaruba ya kulima mpunga wanakuita wa pori nawakati hata wakuu wa nchi wanamashamba na wanalima

Vijana tokeni apo Kariakoo, upo na kikomputa chako hicho kujidai unatengeneza simu mbovu kumbe unaiba spair unaweka feki, kazi kufosi tu maisha yashawashinda.. Ngoja siku nikija bongo mniombe pesa za bia muone nitakavyowatukana nyoro nyie
Wewe zuzu vijana wa dar wanalima kwenye beti ...huko wanaseka mikeka ..vikapu ...wanapepeta mahindi yaani kazi kazi mwanangu.
 
NImelima nimeuza mahindi pana mwaka Mzee Magu alipoweka katazo la mahindi kwenda Nairobi nilipata tabu kidogo maana ilibidi mzigo wote niutunze kwenye godown za watu na unalipia ili kusubiri bei ipande harafu unanunua dawa ili kuyatunza aisee muda mwingine dawa zenyewe zinakuwa feki ukienda kukagua unaona mahindi yameliwa..na wapo wadudu ambao wakishambulia mahindi kuwaua ni kazi sana...
Inaonekana

1. Ulilima kwa lengo la kupata faida ya haraka,

2. Ulikata tamaa,

3. Halafu unadhani kilimo ni mahindi tu.

4. Kingine ulilima kwa kutegemea zao moja.

5. Kilimo siyo passion yako

6. Ulifanya gambling

Yote hayo yanakuondoa kwenye sifa ya mkulima bora.

Wewe siyo mkulima, unless umekidhi sifa za mkulima bora.
 
Najuta why nimetoka bongo maana mda huu nikiwa Namibia mji wa Windhoek nimepewa taarifa na wazawa wa katavi wanasema msimu huu kosakosa gunia za mahindi sio chini ya Mia Tatu, mvua zinatwanga vibaya mno

Nami nikaona nitumie fursa hii kuwakumbuka watoto wa mjini tuliokaa nao kwenye vijiwe vya kahawa Kwa mda mrefu waondoke Kwa mda mda tu jiji la dar Es salaam waende vijijini kuanza kulima, kilimo kinaokoa sana sasa hawa madogo mda wote utawakuta wapo makumbusho kwenye maduka ya watu kila siku wapo sinza, kinondoni, Kariakoo kununua new outfit style kulima hawataki

Wanakesha small planet, kidimbwi, wavuvi camp, samaki samaki, kudowea Heineken na savanna za wanaume wenzao ukisema twende shinyanga Kuna majaruba ya kulima mpunga wanakuita wa pori nawakati hata wakuu wa nchi wanamashamba na wanalima

Vijana tokeni apo Kariakoo, upo na kikomputa chako hicho kujidai unatengeneza simu mbovu kumbe unaiba spair unaweka feki, kazi kufosi tu maisha yashawashinda.. Ngoja siku nikija bongo mniombe pesa za bia muone nitakavyowatukana nyoro nyie
Duh.!
 
Mkuu, kulima ni hobby/interest. Kuna vijana tangu wazaliwe hata kushika mpini wa jembe hawajui. Kwa sie tuliotokea kwa wakulima tukaenda masomoni kisha tukapata degree zetu tunazohenya nazo mitaani bila faida, bora turudi tu kwenye kilimo huenda huko tukapata maisha na stress za kukosa ajira zitatoka. Kilimo ndio kiko chati kwa sasa
 
Back
Top Bottom