Vijana jitahidini sana kuwa makini mitaani na wazee wengi wastaafu maana wengi wao wamejaa wivu, fitina na majungu

Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
478
1,638
Japo sio wazee wote ila asilimia kubwa wazee wengi wakishatoka ndani ya sytem na kustaafu

Hujawa mioyo ya chuki, fitina na majungu na mara nyingi hupenda kujua hapa mjini mtu unajishughulisha na na nini na hata wakijua utasikia mara ohoo anauza madawa ya kulevya, mara ohoo huyu dogo mwizi kazini hana hata mwaka ana Gali, mara ohoo kijana yule tapeli, mara jambazi mara ohoo utajiri wake

Wengine wanaenda mbali zaidi wakufanyie kitu chochote ili mradi mambo yako yahalibike iyo ndo furaha yao,

Hivyo kuweni makini sana hawa wazee kukuaribia mambo yako dakika sifuri coz wengi walikuwepo ndani ya system hivyo wanajua wapite wapi kukuharumibia
 
Wengine wanaenda mbali zaidi wakufanyie kitu chochote ili mradi mambo yako yahalibike iyo ndo furaha yao,
✅ Hii hata vijana hasa wale wanaodhani mafanikio ni kujilinganisha au kushindana na Fulani wanayo sana hi michezo.
Wivu -- Hasira -- Chuki -- Uchungu = Uchawi.

Nipo sieleweki ila naskia huyu anasema lile huyu vile.
Moyoni nasema Safi Sana.
 
Back
Top Bottom