MKOLA MLIMA
Member
- Dec 9, 2012
- 55
- 15
Khaa!! Aisee babangu labda siyo ndani ya CDM hii ya Dr Mbowe, :cool2:siku ya jana uongozi wa vijana taifa wanaotarajia kumaliza muda wao hivi punde wametangaza tarehe ya uchaguzi wa baraza la vijana taifa (BAVICHA) na pia kutangaza kutogombea tena uchaguzi ujao. kwa mtazamo wangu vijana hawa wanatufaa kuongoza jahazi la uchaguzi wa 2015 na hatimaye kushika dola 2015. safu ya uongozi huo ni kama ifutayo.
1. M/Kiti Taifa ........ HATARI FREDY CHACHA
2. Makamu/kiti......... NUSRAT HANJI
3. KATIBU ............. MRUTA JULIUS
4.N/KATIBU ............ PHILIP MWAKIBINGA
5. Mwenezi ............. DANIEL NAFTARI
6. M/Hazina .............ZAINAB MUDHIHIR
kwa upande wa zanzibar naomba mapendekezo yenu.
nawasilisha:
siku ya jana uongozi wa vijana taifa wanaotarajia kumaliza muda wao hivi punde wametangaza tarehe ya uchaguzi wa baraza la vijana taifa (BAVICHA) na pia kutangaza kutogombea tena uchaguzi ujao. kwa mtazamo wangu vijana hawa wanatufaa kuongoza jahazi la uchaguzi wa 2015 na hatimaye kushika dola 2015. safu ya uongozi huo ni kama ifutayo.
1. M/Kiti Taifa ........ HATARI FREDY CHACHA
2. Makamu/kiti......... NUSRAT HANJI
3. KATIBU ............. MRUTA JULIUS
4.N/KATIBU ............ PHILIP MWAKIBINGA
5. Mwenezi ............. DANIEL NAFTARI
6. M/Hazina .............ZAINAB MUDHIHIR
kwa upande wa zanzibar naomba mapendekezo yenu.
nawasilisha:
Ni kweli watafaa.siku ya jana uongozi wa vijana taifa wanaotarajia kumaliza muda wao hivi punde wametangaza tarehe ya uchaguzi wa baraza la vijana taifa (BAVICHA) na pia kutangaza kutogombea tena uchaguzi ujao. kwa mtazamo wangu vijana hawa wanatufaa kuongoza jahazi la uchaguzi wa 2015 na hatimaye kushika dola 2015. safu ya uongozi huo ni kama ifutayo.
1. M/Kiti Taifa ........ HATARI FREDY CHACHA
2. Makamu/kiti......... NUSRAT HANJI
3. KATIBU ............. MRUTA JULIUS
4.N/KATIBU ............ PHILIP MWAKIBINGA
5. Mwenezi ............. DANIEL NAFTARI
6. M/Hazina .............ZAINAB MUDHIHIR
kwa upande wa zanzibar naomba mapendekezo yenu.
nawasilisha:
Mkuu hiyo uliyofanya ni SWOT analysis kweli?
Au unajua? Umeamua kuongea virse versa kwa kuwaeka Mwenyekiti na Makamu wake namba 5 na 6? ili upime UPEPO?
Ukitaka demokrasia nenda ACT mkuu,huko wanao viongozi wao washawapanga.
Iliyopita ilikuwa na mchaga gani?mbona hamna mchagga. mtei hawezi kukubali
Bavicha,Bena Saanane,Mtoi,V:Nyerere,Riziki Maghembe.Hatuna haja ya kuwaficha maana ni imara,wasafi,imara na hodari!
Tafuteni wa uvnyinyiem yenu!
weupe wote hao hawana jipya
ben saanane, hana uwezo wa kumiliki jukwaa hiyo ni sifa kuu ya m/kiti tunayemtaka kama alivyokua anaweza heche. Ben mpe dakika tano hawezi kusimama jukwaani lazima aombe kushuka, mtoi sasa ivi ana miaka 32 so hana sifa za kugombea. Nyerere atakua mjumbe wa kamati tendaji.

Ni kweli saa8 zote hzo ni sifa zake na sifa nyengne aliyonayo kuu ana miaka 31 ameshapoteza sifa ya U BAVICHA.
Sory hivi bavicha ni nin??