Avith almachius
Senior Member
- Aug 20, 2022
- 168
- 172
Tulia dogo wewe endelea kugombania sahani na wadogo zako hapoHatuandamani Vijana ambao tunaelewa umuhimu wa kutunza aman Vijana ambao tunaiwaza future ya maisha yetu na Tanzania yetu ambao tunaelimu na tunaelewa madhara ya maandamo ya vurugu kiuchumi na kijamii
Tupo katika kipindi kigumu Cha kutafuta Ajira na kuona kesho yetu tunaeshimu serikali juu ya mustakabali WA maisha yetu kiuchumi tuna imani awamu hii tunapata Ajira tunataishi katika nchi na sio wakimbizi na tutailinda nchi na vibaka wanaotumia maandamo kujifaidisha wao binafsi.
Pakome umekuja na account mpyaHatuandamani Vijana ambao tunaelewa umuhimu wa kutunza aman Vijana ambao tunaiwaza future ya maisha yetu na Tanzania yetu ambao tunaelimu na tunaelewa madhara ya maandamo ya vurugu kiuchumi na kijamii
Tupo katika kipindi kigumu Cha kutafuta Ajira na kuona kesho yetu tunaeshimu serikali juu ya mustakabali WA maisha yetu kiuchumi tuna imani awamu hii tunapata Ajira tunataishi katika nchi na sio wakimbizi na tutailinda nchi na vibaka wanaotumia maandamo kujifaidisha wao binafsi.
Nani amesema kutakuwa na maandamano ya vurugu?Hatuandamani Vijana ambao tunaelewa umuhimu wa kutunza aman Vijana ambao tunaiwaza future ya maisha yetu na Tanzania yetu ambao tunaelimu na tunaelewa madhara ya maandamo ya vurugu kiuchumi na kijamii
Tupo katika kipindi kigumu Cha kutafuta Ajira na kuona kesho yetu tunaeshimu serikali juu ya mustakabali WA maisha yetu kiuchumi tuna imani awamu hii tunapata Ajira tunataishi katika nchi na sio wakimbizi na tutailinda nchi na vibaka wanaotumia maandamo kujifaidisha wao binafsi.
Una miaka 54 unajiita kijana?Hatuandamani Vijana ambao tunaelewa umuhimu wa kutunza aman Vijana ambao tunaiwaza future ya maisha yetu na Tanzania yetu ambao tunaelimu na tunaelewa madhara ya maandamo ya vurugu kiuchumi na kijamii
Tupo katika kipindi kigumu Cha kutafuta Ajira na kuona kesho yetu tunaeshimu serikali juu ya mustakabali WA maisha yetu kiuchumi tuna imani awamu hii tunapata Ajira tunataishi katika nchi na sio wakimbizi na tutailinda nchi na vibaka wanaotumia maandamo kujifaidisha wao binafsi.
Amani haitunzwi kwa kuwaambia watu wasiandamane. Amani hutunzwa kwa watu kutendeana haki.Hatuandamani Vijana ambao tunaelewa umuhimu wa kutunza aman Vijana ambao tunaiwaza future ya maisha yetu na Tanzania yetu ambao tunaelimu na tunaelewa madhara ya maandamo ya vurugu kiuchumi na kijamii
Tupo katika kipindi kigumu Cha kutafuta Ajira na kuona kesho yetu tunaeshimu serikali juu ya mustakabali WA maisha yetu kiuchumi tuna imani awamu hii tunapata Ajira tunataishi katika nchi na sio wakimbizi na tutailinda nchi na vibaka wanaotumia maandamo kujifaidisha wao binafsi.
SativaNani amesema kutakuwa na maandamano ya vurugu?
It depends on the benchmark used. Ukimlinganisha na Wasira, huyo ni kijana mbichi kabisa!Una miaka 54 unajiita kijana?
Kama wewe haukumpigia kura kuna watu wamempigia lakini?Jinga jingine hili, kwamwambie Samia aliyekutuma kuwa hatumataki, hatumuelewi, hatukumpigia kura na kamwe hatuwezi samehe uovu wake wala kusahau.
Kumtoa madarakani kwa maandamano ni lazima
Hatuandamani Vijana ambao tunaelewa umuhimu wa kutunza aman Vijana ambao tunaiwaza future ya maisha yetu na Tanzania yetu ambao tunaelimu na tunaelewa madhara ya maandamo ya vurugu kiuchumi na kijamii