kinyamkela mahaba
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 1,180
- 1,599
"Are you graduated" ....naona graduate wa siku hizi umemkosoa graduate wa siku hizi.And you 'greduated' from which university!! sema nini home boy siku nyingine ukitaka kufikisha ujumbe kwa umma basi kuwa na utulivu kwanza.Uzembe kama huu ndio unapelekea wale waliotangulia kusoma elimu za kikoloni wanaleta kejeli kwa 'greduate' wa sasa.Sema nini Asante kwa kuwakumbusha
Kwahiyo hutaajiri vijana kwenye biashara zako tajiri?Hali zenu ndugu zangu! Ni tabia mbaya na uraibu mbaya kubweteka na kuilaumu serikali kila siku kuwa haiajiri.
Mimi ni greduate ila niliamua kukataa kuajiriwa na kujikita kuanzisha miradi yangu kwa jasho na damu. Nilikataa i rebermber mshahara wa taslimu 450k TZS kwa mwezi.
Nimefungua biashara ya karanga nataraji kuanza week ijayo, nilikusanya 8k, ila nikaongezewa 250k na kampani yangu.
Tuache kulalamika.!
Je umeshaanza hiyo biashara halafu uone mambo yanakuwaje? Unafikiri kila mtu anaweza kupata mtaji wa biashara kama wewe?Hali zenu ndugu zangu! Ni tabia mbaya na uraibu mbaya kubweteka na kuilaumu serikali kila siku kuwa haiajiri.
Mimi ni greduate ila niliamua kukataa kuajiriwa na kujikita kuanzisha miradi yangu kwa jasho na damu. Nilikataa i rebermber mshahara wa taslimu 450k TZS kwa mwezi.
Nimefungua biashara ya karanga nataraji kuanza week ijayo, nilikusanya 8k, ila nikaongezewa 250k na kampani yangu.
Tuache kulalamika.!
unataka kila mtu afuate njia zako ambazo hazijaanza hata kuonesha matunda...? 🤔Hali zenu ndugu zangu! Ni tabia mbaya na uraibu mbaya kubweteka na kuilaumu serikali kila siku kuwa haiajiri.
Mimi ni greduate ila niliamua kukataa kuajiriwa na kujikita kuanzisha miradi yangu kwa jasho na damu. Nilikataa i rebermber mshahara wa taslimu 450k TZS kwa mwezi.
Nimefungua biashara ya karanga nataraji kuanza week ijayo, nilikusanya 8k, ila nikaongezewa 250k na kampani yangu.
Tuache kulalamika.!
Thread 'Nimerudi kutoka kazini muda huu wife ameniwekea unga kwenye hot pot na mboga mbichi' Nimerudi kutoka kazini muda huu wife ameniwekea unga kwenye hot pot na mboga mbichiHali zenu ndugu zangu! Ni tabia mbaya na uraibu mbaya kubweteka na kuilaumu serikali kila siku kuwa haiajiri.
Mimi ni greduate ila niliamua kukataa kuajiriwa na kujikita kuanzisha miradi yangu kwa jasho na damu. Nilikataa i rebermber mshahara wa taslimu 450k TZS kwa mwezi.
Nimefungua biashara ya karanga nataraji kuanza week ijayo, nilikusanya 8k, ila nikaongezewa 250k na kampani yangu.
Tuache kulalamika.!
Eti Leo anageuka motivesheni spika....dahThread 'Nimerudi kutoka kazini muda huu wife ameniwekea unga kwenye hot pot na mboga mbichi' Nimerudi kutoka kazini muda huu wife ameniwekea unga kwenye hot pot na mboga mbichi
Una SAFARI NDEFU KIUCHUMI.
Hapana asee nilikuwa najaribu kuendelea alipoishia yeye ,which is why I have surrounded the word in single quotation mark."Are you graduated" ....naona graduate wa siku hizi umemkosoa graduate wa siku hizi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo wewe umekataa kazi..soon utaenda kuomba ushauri kwa dc wa kisarawe.Hali zenu ndugu zangu! Ni tabia mbaya na uraibu mbaya kubweteka na kuilaumu serikali kila siku kuwa haiajiri.
Mimi ni greduate ila niliamua kukataa kuajiriwa na kujikita kuanzisha miradi yangu kwa jasho na damu. Nilikataa i rebermber mshahara wa taslimu 450k TZS kwa mwezi.
Nimefungua biashara ya karanga nataraji kuanza week ijayo, nilikusanya 8k, ila nikaongezewa 250k na kampani yangu.
Tuache kulalamika.!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maake hapo kwanza ncheke, ugraduate umevamiwa sana siku hizi, kila mtu mimi ni graduate[emoji2]Ndo umeandika nn
sawa i rebermberHali zenu ndugu zangu! Ni tabia mbaya na uraibu mbaya kubweteka na kuilaumu serikali kila siku kuwa haiajiri.