Viingilio vya Pambano kati ya Floyd Mayweather na Manny Pacquiao vyatangazwa

Yes yes yes(daniel bryan) na roman reigns,(I will,I can) hawa jamaa nawapenda sana. Hivi roman reigns na brock resner ni lin watapigana kugombea mkanda wa wwe?

Washapigana ktambo,walipigana hadi wakawa hoi ndpo seth akaja na briefcase yake akaikabidh kwa refa akampiga roman,akashnda mkanda,kwahy sa hv mkanda anao seth ila leo anapigana na randy kwa ajili ya huo mkanda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom