Viingilio vya mechi ya Simba wachangiwe Yanga

Salt Bae

Senior Member
Jan 9, 2019
140
196
Kuliko kulipa viingilio kwenye mechi za Simba zisizowahusu mwisho wa siku Simba inashinda na inakuwa mmeisaidia kupata mapato makubwa ya viingilio si bora hizo hela mngeichangia timu yenu.
 
Pole zao
Kuna rafiki yangu ni Yanga leo hata salamu hataki amenuna.

Mechi tushinde sisi na hatukucheza nao halafu wanune wao.

Yanga wameumia kuliko hata AS Vita wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuliko kulipa viingilio kwenye mechi za Simba zisizowahusu mwisho wa siku Simba inashinda na inakuwa mmeisaidia kupata mapato makubwa ya viingilio si bora hizo hela mngeichangia timu yenu.
Mbumbu mnashida sana, wakati Yanga inacheza mechi za Kimataifa kuna mechi watu walikua wanaingia bure kabisa, tena mbaka mageti yanafungwa kwa maana uwanja unakua umeshajaa, Polisi walitumika kuwatawanya watu walio chelewa na kukuta mageti yamefungwa. Sasa ili Simba waweze kufikia hatua ya kuruhusu watu waingie bure kama Yanga walivyofanya ebu wafanye hivyo mechi zinazo fuata tujue simba inamilikiwa na tajir mwenye ukwasi.

Tuingie bure kufanyaje?
 
Umezoea bure!!
Utakuja kuolewa mjini hapa. Ndio maana kibubu hakijai mnangoja vya bure.
Sisi tunalipa kiingilio kunufaisha timu yetu.Hatupigi magoti kungojea charity.
 
Back
Top Bottom