"Not all glitters are gold".Kuna habari kwamba baadhi ya wenyeviti wa UVCCM kutoka baadhi ya wilaya za mkoa wa
Arusha nao wanatarajiwa kuhamia CHADEMA pamoja na Millya siku chache zijazo.
Makundi ya vijana mjini hapa walizipokea kwa shangwe taarifa hizo, huku wakiwataka vijana
wengine ndani ya CCM kuondoka na kujiunga na
CHADEMA kwa kile walichoeleza kuwa itawawezesha kujenga nguvu ya pamoja kuiondoa madarakani CCM ambayo imekuwa ikiwathamini na kuwajali watoto wa vigogo hasa
katika suala zima la uongozi .
"Vijana wa CCM watoke wote waende CHADEMA. Kule vijana wanapewa fursa ya kuongoza na mawazo yao yanasikilizwa; hivyo
ni rahisi kupanga mipango ya maendeleo inayotekelezeka hasa wakifanikiwa kuing'oa
madarakani serikali ya CCM 2015 ambayo imabaki kuwalundikia vyeo wazee wastaafu huku vijana wakiambiwa wao bado hawana
uzoefu" alisema Jackob Mollel, mkazi wa Arusha mjini.
Naye Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe, alisema chama kinamkaribisha Millya
na wanasiasa wengine walio safi kujiunga nacho ili kuongeza nguvu ya mabadiliko kinayopigania.
Baadhi ya wachambuzi wa mambo ya kisiasa wanasema hatua iliyochukuliwa na Millya ni
mwendelezo wa mmeguko ndani ya CCM na ishara kwamba chama hicho tawala kinazidi
kumong'onyoka.
Source. Tanzania Daima.
"Not all glitters are gold".
Mkuu Jogi, kwani msimamo wako ni upi ktk hili suala la wana magamba kukimbilia CDM?But gold glitters, isn't it?
Tuwachukue hao vijana wa Magamba kwa taadhari sana isje kuwa matatizo kwan waweza kuwa mapandikizi katika chama
Mkuu Jogi, kwani msimamo wako ni upi ktk hili suala la wana magamba kukimbilia CDM?
Nimekuelewa vizuri. Hata mimi sina kinyongo na wageni, cha msingi wanatakiwa kufuata kanuni na maadili ya CDM. Ni furaha iliyoje kwa mzazi kumpata mwana mpotevu!Mkuu, mimi naunga mkono mwana mpotevu kurudi nyumbani. ulinzi wa nyumbani kwangu ni mzuri kum-acomodate naye pia. NAUNGA MKONO. Kwa hawa viongozi kunafaida kubwa imejificha ndani yake, ikiwa ni pamoja na kuwaongezea ujasiri vijana au wazee wenye woga kule vijijini ambako ushindi tunategemea uataanzia huko.
Ccm ni dume la mbegu wachukueni tu hayo makapi!
Tutakapoikomboa nchi Usitarajie kuwawekea vikwazo vya kuijenga nchi wananchi waliokuwa na mafungamano na ccm, ama la sivyo hatuijui falsafa ya mzee Nelson Rolilohlo Mandela kuhusu Afrika kisini. Cha msingi ni kuwa watu wabadili mindset kwa nchi yetu. wasiichukulie kimagamba magamba!!!!
Kuna habari kwamba baadhi ya wenyeviti wa UVCCM kutoka baadhi ya wilaya za mkoa wa
Arusha nao wanatarajiwa kuhamia CHADEMA pamoja na Millya siku chache zijazo.
Makundi ya vijana mjini hapa walizipokea kwa shangwe taarifa hizo, huku wakiwataka vijana
wengine ndani ya CCM kuondoka na kujiunga na
CHADEMA kwa kile walichoeleza kuwa itawawezesha kujenga nguvu ya pamoja kuiondoa madarakani CCM ambayo imekuwa ikiwathamini na kuwajali watoto wa vigogo hasa
katika suala zima la uongozi .
"Vijana wa CCM watoke wote waende CHADEMA. Kule vijana wanapewa fursa ya kuongoza na mawazo yao yanasikilizwa; hivyo
ni rahisi kupanga mipango ya maendeleo inayotekelezeka hasa wakifanikiwa kuing'oa
madarakani serikali ya CCM 2015 ambayo imabaki kuwalundikia vyeo wazee wastaafu huku vijana wakiambiwa wao bado hawana
uzoefu" alisema Jackob Mollel, mkazi wa Arusha mjini.
Naye Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe, alisema chama kinamkaribisha Millya
na wanasiasa wengine walio safi kujiunga nacho ili kuongeza nguvu ya mabadiliko kinayopigania.
Baadhi ya wachambuzi wa mambo ya kisiasa wanasema hatua iliyochukuliwa na Millya ni
mwendelezo wa mmeguko ndani ya CCM na ishara kwamba chama hicho tawala kinazidi
kumong'onyoka.
Source. Tanzania Daima.
Nimekuelewa vizuri. Hata mimi sina kinyongo na wageni, cha msingi wanatakiwa kufuata kanuni na maadili ya CDM. Ni furaha iliyoje kwa mzazi kumpata mwana mpotevu!
mweeeeeeeeeeeeeeeee.ccm.kuanzia k.njaro,arusha,bbti..chadema.moto.kule tanga,na pwani mtwara lindi .cuf wanawapa joto la kubambua magamba.eti mkama anasema chama chake hakinina mchoko wa akili wala wakimwili.kipo imara.du.mpaka 2015.meng twashuhudia.