Vigodoro na ndoa za watu

kwa heshima naomba uweke picha nione mnachozungumza ni nini?
 
Reactions: amu
sasa hapa kuna mawili nimshauri amtoe out au kama hana uwezo mkewe akienda kwenye vigodoro waende wote

Mwambie wakae waongee ili wakubaliane jinsi ya kushughulikia tatizo hili. Ndoa haiwezi kuwepo kama hawataridhiana. Hata hivyo kwa nini hawakuyaongea kabla ya ndoa?
 
Ha ha ha babu jamani ......mie njuka sana ujue........ngoja nije chuda kuangalia kigodoro

Nimekubali mpenzi. Mie tena? Ukija chuda usisahau kupita kwa Bibi!
 
Mie mwanaume wa kuninyima kigodoro na kuvaa wigi bora tu tuachane.
 
wanaume wa dar! hilo nilakuomba ushauri nlitegemea keshampiga marufuku kumbe bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…