TADPOLE kweli mkuu kama unamjaali frendi wako, BASI MSHAURI AHAMIE MIKOA YA KANDA ZINGINE (km : MWZ,SHY,ARUSHA,nk ) huko atatulia na kulea familia kwa makini na maadili mema !!!
Try !! jaribu na msihi kinduguuuu bhana!!!mkuu nadhani hatoweza kuhama hata tukae kumi tumshauri hatokubali japokuwa ni wazo zuri
Huyo mke sio wako kweli? Kaanza kwenda kwenye vigodoro alivoolewa? Kama kaanza kabla amuache tu aendelee kwenda usikute alimtoa kwenye vigodoro af leo ndo ampige marufuku haitakua sawa
Huyo mke sio wako kweli? Kaanza kwenda kwenye vigodoro alivoolewa? Kama kaanza kabla amuache tu aendelee kwenda usikute alimtoa kwenye vigodoro af leo ndo ampige marufuku haitakua sawa
Kuna wengine wanapenda kuangalia tu vituko vya pale....labda yupo kwa kundi hilo....labda
Maana pale ni kama picha za x sasa unaangalia live tena no kiingilio..
Amchunguze kwanza akienda anafanyaga nini..ukute mkewe ndo msasambuaji mkuu..au ukute maskini anaangalia na kuchukua sytle za mauno ya uswahilini kwa faida yao..au ukute hamtoagi out kwa music sasa na yeye mama anaeenda kushangaa kujipa raha
Wewe huwa unaenda? Na kama ndiyo, unajishughulisha na nini huko?
Babu kiukweli kabisa sijawahi kwenda...ila kama ningeenda ningechukua style za kukatika na kuwaomba wanifundishe
Huyu jamaa ndiye mwenye mke. Tumpe pole.
labda!! me nimewakuta tu kwenye hiyo nyumba niliyopanga sijui walipokutania
Kuna wengine wanapenda kuangalia tu vituko vya pale....labda yupo kwa kundi hilo....labda
Maana pale ni kama picha za x sasa unaangalia live tena no kiingilio..
Amchunguze kwanza akienda anafanyaga nini..ukute mkewe ndo msasambuaji mkuu..au ukute maskini anaangalia na kuchukua sytle za mauno ya uswahilini kwa faida yao..au ukute hamtoagi out kwa music sasa na yeye mama anaeenda kushangaa kujipa raha
mke wa mtu amuache mme et akaangalie tu itakuwa kuna busines zaid ya hiyo
Nimepata maswali zaidi lakini ngoja niishie hapa.
Kwani wewe ni njuka wa mmu?
Mpendwa...waume wengi wakioa hawatoi out....haswa nyie mnaoishi huko kwenye vigodoro...
Sasa kwa nini asishangae tena bure ukiangaalia nyumba ya pili au mtaa wa pili