chedyrichie
Member
- Aug 5, 2015
- 7
- 7
Anaejua kvigezo vilivyotumiwa kutoa mikopo kwa wanafunz wa masomo kwa mwaka 2016/17 katika form ya mkopo naomba msaada hasa waliojaza form za mkopo maana kuna mzee ananibishia sana mwanae kukuosa mkopo
Hiyo namba ya iv inapimwaje kuhusu umaskini wa Mtanzania kwa kutumia Mean test, kwani hapo ndipo kichaka cha HESLB kinaojifichia kuwapa mikopo wasiostahili.Wangeweka wazi je aliyesoma shule binafsi za sekondari labda kuanzia F6 na ni mtoto wa mkulima wa kawaida anastahili mean test kiasi gani?,