Hapo kwenye namba 13 wamesema awe tayari kufanya kazi ndani na nje ya nchi. Sote tunajua kuwa polisi ipo chini ya wizara ya mambo ya ndani na kazi yao kisheria tunaambiwa ni kulinda raia na mali zao, sasa hizo kazi za nje ya nchi nani atawatuma?

Akina andunje kama sisi hakuna kazi.

Tunaenda Darfur,Central Africa, Interpol, etc. Alafu wabongo mnaongoza kwa kubeza jeshi lenu wakati nchi zingine wanatuadmire. Njooni muombe muajiliwe tusaidieni kubadili muelekeo wajeshi hili badala ya kulalamika kwny mitandao. Ukihitimu utakuja utuambie rushwa unafindishwa na jeshi,ni slogan yetu au utashi wamtu mmoja mmoja kama ilivyo sekta zngne. KARIBU!
Akina andunje kama sisi hakuna kazi.
Akina andunje kama sisi hakuna kazi.
Nenda G4S...CIT ukapige mawe yakutosha.
itabidi andunjezi muandamane o muunde jeshi lenu km sio kujitenga na TZ , ndg zenu wengi sana wapo congo kwenye misitu flani kulee
Kwa mabadiliko ya kasi ya teknolojia, andujez mtaajiriwa tu siku za usoni
Amin amin nakuambieni...kama ww mfupi ila una profession nzuri ambayo ni productive kwa jeshi..njoo. Kuna kazi zaidi ya tigo (rider),ffu,trafic,parade,points. Polisi nizaidi ya hayo. Kama huamini angalia profession walizoainisha ili watu waombe.
TAHADHARI: Kama upo serious usimsikilize wakulia au kushoto,anabeza hapa lakini haki ya Mungu utakutana nae kwny foleni ya interview!.
Hapo kwenye namba 13 wamesema awe tayari kufanya kazi ndani na nje ya nchi. Sote tunajua kuwa polisi ipo chini ya wizara ya mambo ya ndani na kazi yao kisheria tunaambiwa ni kulinda raia na mali zao, sasa hizo kazi za nje ya nchi nani atawatuma?
Akina andunje kama sisi hakuna kazi.
kuna interpol mkuu