sarah mpegwa
Member
- Sep 2, 2011
- 20
- 0
tusaidiane kujadili hili naona kama haliko sawa mara zote nionapo post mbalimbali za ajiira kuna hii nimeiona ukisoma sana kwenye experience ya anaeapply lazima awe na experience kuanzia 3yrs!!!vp sasa kwa watu wanaotoka direct from school ina maana hawana chanc?hata kama qualification nyingne wako frsh?alaf najiuliza ndo sababu ya watu weng kukosa ajira kisa una exprnc??jamani mnaonaje wanajf?