Zilpah Member Oct 12, 2016 95 57 Nov 4, 2017 #1 Habari zenu wana jf. Napenda kujua ni vigezo gani muhimu natakiwa nivizingatie katika uchaguzi wa laptop? Natanguliza shukrani.
Habari zenu wana jf. Napenda kujua ni vigezo gani muhimu natakiwa nivizingatie katika uchaguzi wa laptop? Natanguliza shukrani.
Chief-Mkwawa Platinum Member May 25, 2011 30,737 39,838 Nov 4, 2017 #2 tembelea huu uzi, Muongozo: Vitu vya kuzingatia unapotaka kununua kompyuta
OllaChuga Oc JF-Expert Member Jul 4, 2016 21,128 24,066 Nov 4, 2017 #4 Wakuu laptop used naitaji. Bei isizid 350k niko Arusha.