Uso wa nyoka
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 4,791
- 2,373
Habari gani wakuu?
Kuna mtu yeyote alie na ufahamu juu ya namna ya kujiunga na kifurushi cha kupiga simu kwenda Zambia kupitia mtandao wa Tigo?