Eeeeh!! Mi nikajua vifurushi vya chuo ni mpaka mtu uwe eneo la chuo kumbe kuna na option ya line. Lakini si wanaweza kunitengenezea line yenye namba hii hii niliyo nayo?Nenda tigo shop waambie wakuuzie line mpya na wakuunganishe na huduma ya University offer/extreme. Kwa line mpya siku ya kwanza ni 3000 ila baada ya hapo utajiunga mwenyewe popote kwa 1500 dk 130 na 1GB kwa wiki. 300 MB 300 na dk za kutosha /500 MB 500 kwa siku.
500 kwa wiki MB 500
Kwa Tanzania ilivyo ninavyoijua mimi, siky zote wana terget sehemu yenye wingi wa watu ndo inaelekeza hapo kodi zote, toka nimeanza kusikiliza bunge la budget sijwahi ona wakishusha kodi, mara nyingi wanapandisha tena sana sana kwenye hizi luxury needs.Tatizo siyo kodi mkuu, hizo ni cheche tu. Tanzania ni miongoni mwa nchi chache za mwisho mwisho kwa kutoza gharama kidogo za Data, expect more for the coming days.
Pili, haya makampuni ya simu yamefikia wakat sasa kwamba there is no new subscriber's, wateja ni wale wale , number of subscribers haiendi juu.. hao hao waliopo ndo wanagawana.. kwa hyo maana yake revenue haiongezeki... na unakuta bado hawajapata profit...so wht to do ndo unacholalamika ambapo bado bei haijapanda kisawa sawa... kodi siyo tatizo maana kampuni kama haipat faida..haitozwi kodi..na V.A.T hailipi kampun..analipa mtumiaji wa mwisho.
Sasa ukiongelea Subscribers kupanda na kushuka, I think they re better off kushusha gharama ya Internet kwasababu hapo ndipo watakapofanya biashara kubwa kuliko kwa bei hizi. Ofcourse vitu kama Internet ni luxury needs, so mtu anaweza ishi bila kuwa navyo, so bei inapopanda, maana yake purchasing power ya watu inapungua, ambapo kwa mfano kama hapo mwanzo walikuwa wanapata wateja 100 wanaojiunga na vifurushi hapo mwanzo, sasa hivi watapata wateja 60-70, kwa namba hii, ina maana kama ni profit utaipata kwa watu hao tu, lakini bei zingekuwa ni zile nzuri basi atleast wangejiunga wengi and instead of 60 now wangejiunga 90, sasa imagine, kukusanya hata kama ni tsh 50 kwa watu 90 versus kukusanya 100 kwa watu 60 and less kwa siku na wangeshindana kwa style hiyo, hata hao new subscribers wangetokea. Ni sawa na wewe unauza sukari Tsh 1,800 na mwenzako anauza Tsh 2,000. Wewe wa 1,800 unapata faida ya shillingi hamsini kwa kila kilo moja na mwenzako anapata faida ya Tsh 200 kwa kilo moja, katika hali ya kawaida, wewe wa 1,800 unaweza uza viroba kumi vha sukari wakati yeye mwenzako yuko na kiroba kile kile kimoja, sasa piga mahesabu kati ya wewe wa 1,800 na mwenzako wa 2,000 nani anafanya biashara kubwa na nani anazungusha hela nyingi kwa mwezi.Tatizo siyo kodi mkuu, hizo ni cheche tu. Tanzania ni miongoni mwa nchi chache za mwisho mwisho kwa kutoza gharama kidogo za Data, expect more for the coming days.
Pili, haya makampuni ya simu yamefikia wakat sasa kwamba there is no new subscriber's, wateja ni wale wale , number of subscribers haiendi juu.. hao hao waliopo ndo wanagawana.. kwa hyo maana yake revenue haiongezeki... na unakuta bado hawajapata profit...so wht to do ndo unacholalamika ambapo bado bei haijapanda kisawa sawa... kodi siyo tatizo maana kampuni kama haipat faida..haitozwi kodi..na V.A.T hailipi kampun..analipa mtumiaji wa mwisho.
kama hujashtukia, siyo Data tu imebanwa...bali hata normal text..cku hzi watu hawapg pig simu tu ovyo for no reason.... utajikuta unanua 30 minutes for 24hrs ila unakuta karbu 15minutes zinaexpire.. tht means matumiz ya ya voice calls yamepungua.. watu sa hv ni whatsap.. na texts kwa sana.. hata wewe inawezekana toka asubuh hujapga simu...ila ushatumia nusu saa nzima kufanya activities znazoihusisha inernt... sasa kwann wasibane humo?? Hata ungekuwa manager wa tgo leo...watu wanatumia muda mwing internet kuliko kupga cm...cha kufanya ni kubana kwenye data.. ndiyo maana hv karibun umeona karbu mitandao yote sasa wameweka 4g... wanaboresha zaidi... wamewekeza billions for that... kwa hyo usijarbu kuihusisha serikali hata tone...serikal ilitoza kodi kwenye tgo pesa...m.pesa nk.. ndiyo maana tarrifs zilipanda ghafla...kodi hyo imetuathir sisi cyo wao..Sasa ukiongelea Subscribers kupanda na kushuka, I think they re better off kushusha gharama ya Internet kwasababu hapo ndipo watakapofanya biashara kubwa kuliko kwa bei hizi. Ofcourse vitu kama Internet ni luxury needs, so mtu anaweza ishi bila kuwa navyo, so bei inapopanda, maana yake purchasing power ya watu inapungua, ambapo kwa mfano kama hapo mwanzo walikuwa wanapata wateja 100 wanaojiunga na vifurushi hapo mwanzo, sasa hivi watapata wateja 60-70, kwa namba hii, ina maana kama ni profit utaipata kwa watu hao tu, lakini bei zingekuwa ni zile nzuri basi atleast wangejiunga wengi and instead of 60 now wangejiunga 90, sasa imagine, kukusanya hata kama ni tsh 50 kwa watu 90 versus kukusanya 100 kwa watu 60 and less kwa siku na wangeshindana kwa style hiyo, hata hao new subscribers wangetokea. Ni sawa na wewe unauza sukari Tsh 1,800 na mwenzako anauza Tsh 2,000. Wewe wa 1,800 unapata faida ya shillingi hamsini kwa kila kilo moja na mwenzako anapata faida ya Tsh 200 kwa kilo moja, katika hali ya kawaida, wewe wa 1,800 unaweza uza viroba kumi vha sukari wakati yeye mwenzako yuko na kiroba kile kile kimoja, sasa piga mahesabu kati ya wewe wa 1,800 na mwenzako wa 2,000 nani anafanya biashara kubwa na nani anazungusha hela nyingi kwa mwezi.
Kwa mfano bundle zingekuwa affordable, kila mtu angekuwa ananunua which means more money for them, lakini kwa style hii, wanaonunua ni wachache na bundle tunazonunua haziendani na thamani ya hela tunayotoa na wala hazitoshi kwa smartphone zetu ambazo ni kubwa, zenye application nyingi zinazotumia data na smartphone zenye 4g.
Bundle zingekuwa kwa mfano 2,000 naweza pata GB kwa wiki, ningekuwa na uwezo wa kuunganisha hata mbili kwa wiki moja kwasababu GB 1 kwa simu yangu kwa wiki hazitoshi, au hata kama ingekuwa 2,500 napata 1GB kwa wiki basi ningejiunga, na najua kisingemaliza wiki ningejiunga tena, so bila kujua ndani ya wiki moja, walikuwa na uwezo wa kupata 5,000 kutoka kwangu lakini siko radhi kutoa 5,000 kwa GB 1 tu kwa wiki nzima. Sasa kwa style hii wananikosa mimi na wengine ambao tunaweza kaa siku tatu bila bundle pamoja na kwamba tuna smartphone.