Vifurushi vya bima za afya

Vifurushi vya bima za afya

karv

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2019
Posts
1,800
Reaction score
3,261
Heri ya mwaka mpya

Moja kwa moja niende kwenye mada husika.

Tanzania kuna makampuni mengi yanayotoa huduma ya bima hasa bima za Afya. Sasa ukiacha NHIF na CHF naomba kufahamu bei ya vifurushi vya bima za afya kutoka kwenye makampuni mengine ya bima.

Natanguliza shukurani
 
Back
Top Bottom