uhaale JF-Expert Member Joined Sep 25, 2012 Posts 309 Reaction score 154 Aug 23, 2017 #1 Ndugu wana JF, ninatafuta kampuni ndogo ya mjasiriamali mdogo kama mimi, ambaye ataweza kunitengenezea na kuweka nembo mifuko ya plastic kwa ajili ya mikate.
Ndugu wana JF, ninatafuta kampuni ndogo ya mjasiriamali mdogo kama mimi, ambaye ataweza kunitengenezea na kuweka nembo mifuko ya plastic kwa ajili ya mikate.