Wadau natafuta packaging material/vifungashio kwa ajili ya bidhaa zangu. Natengeneza Jam and Jellies na kusindika vyakula mbalimbali. Pls msaada wapi naweza kupata hizo materials
Natafuta hizo sticker nakupatajekm uko dar nenda kariakoo utakuta mitaa wa congo wanauza plastic bag na chupa za kupakia bidhaa zako ukifika hapo congo ulizia watu wanakuonesha hayo maduka
kingine mm naprint sticker za kuweka kwenye hizo bidhaa zako onana nami kwa printing
Una print bei gani ?km uko dar nenda kariakoo utakuta mitaa wa congo wanauza plastic bag na chupa za kupakia bidhaa zako ukifika hapo congo ulizia watu wanakuonesha hayo maduka
kingine mm naprint sticker za kuweka kwenye hizo bidhaa zako onana nami kwa printing