Nyie ni wajinga sana..hivyo vifungashio unauza Tsh.100 kwa Tsh.200 kweli!?? Yaani watanzania watu wa ajabu sana,hayo makaratasi ya kubebea cement ww umeingia gharama gani uuze hiyo bei!?? Mifuko ya plastick ile laini tulikuwa tunanunua Tsh.600 pakti yenye mifuko 50. Ina maana kila 1pc ni Tsh.12. na hii ndo ilikuwa na gharama. Leo mnakomoa watu kwa sababu ya tamaa ubunifu wenyewe sifuri kabisaa! Hayo makaratasi utabebea nyama!??