Vifo vya waendesha pikipiki (boda boda) ni mpango wa Mungu?

mickybaba

Member
Dec 30, 2014
35
15
Jamani naombeni tuwekane sawa katika hili suala...

Mimi sijasoma sana elimu ya dini lakini kati ya machache ninayoyajua na kuyaamini ni kwamba kifo cha binadamu ni mpango wa Mungu...

Kitu kinachinitatiza ni wingi wa vifo vinavyotokana na ajali za pikipiki katika miaka ya hivi karibuni. Hali hii imepelekea mimi kujiuliza...

Je, vifo vya waendesha pikipiki ni mpango wa Mungu?
 
Kilishapangwa kwamba jamaa tarehe fulani siku fulani mwaka fulani atakufa kwa kitu fulani..
 
Kama ni mpango wa Mungu basi siku mpango wa shetani ukichukua hatamu sijui itakuwaje.
 
Ni mpango wa mchina na mzungu, pikipiki za zamni tank ya mafuta ilikuwa inakaa nyuma siku pikipiki tank ya mafuta inakaa Mbele, na petrol ni kirevi
Nadhani umenielewa kwani wanakufa kwa ajari
 
Back
Top Bottom