kibona
Mwaikambo
Kombe
Dr jumaa
Prof haroub
Professor Nicas Guido Mahinda
Professor Nicas Guido Mahinda
Hivi kama CCM ni wauaji kiasi hiki kwanini bado kumeikumbatia....
Je tanzania ukizeeka serikali ya CCM wana haki ya kukuua au hapa ulikuwa unataka kusema nini mkuu....Usukumani wazee huuliwa je ni sera ya CCM...Kifo cha Karume sidhani kama kina utata, huyo si alipigwa risasi inasemekana na mtoto alieuliwa mzazi wake, nae akamlea baadae akamtungua na yeye ..kulipiza kuuliwa baba yake so hilo lipo wazi.
Kivumbi kipo kwa Kighoma Malima, Horace Kolimba, Imraan Kombe, Edward Moringe Sokoine. JK Nyerere lakini nae huyu alishazeeka ila nae alizidi kubana watu na sera zake za Ujamaa.
Msisahau na wale wanaopofuliwa macho kiaina,
Salmin Amour
Aboud Jumbe
Kumekuwepo na maneno ambao hayajawahi kukanushwa wala kusibitishwa na viongozi wa serikali ya CCM juu ya vifo vya viongozi mbalimbali waliowahi kushika nyazifa za juu kwenye serikali ya CCM. lakini walikuja kufa kwenye mazingira ya kimagumashi/ kutatanisha hasa baada ya kuhitirafiana na CCM na wananchi kuituhumu serikali kuwa ilihusika kuwaua viongozi hao vipenzi vya watanzania walio wengi …
Sasa ni wakati mwaka kutueleza kinaga ubaga juu ya vifo hivi maana kuna wengine wako njiani ambao wamekuwa wakitajwa tajwa kuwekewa sumu na serikali ya CCM na wenyewe kukiri tofauti na walio tangulia mbele ya haki, ni wakati mafaka hasa baada ya Mtoto wa marehemu Mwalimu JK Nyerere kuweka baya kuwa raisi mstafu ndg Benjamini Wiliam Mkapa alimuua Nyerere .
Kama ifatavyo
Orodha inaendelea
- Karume
- Edward Moringe Sokoine
- Kighoma Malima
- Horace Kolimba
- Imrani Kombe
- JK Nyerere
- Salome Mbatia

Je tanzania ukizeeka serikali ya CCM wana haki ya kukuua au hapa ulikuwa unataka kusema nini mkuu....Usukumani wazee huuliwa je ni sera ya CCM...
Wote hawa wameuwa kwa Ajali za barabarani, labda ilikuwa ajali ya kupangwa.
- Chacha Wangwe
- Regia Mtema
Samahani mkuu huyu ni nani katika medani za siasa au alimu? au
Nimesema orodha inaendela na kuna wachangia wametaja ungetaja na wewe ningeongeza......na kuhusu kuuliwa na CHADEMA bado huiondolei CCM tuhuma maana wao ndiyo walio apa kuilinda katiba ambayao ni pamoja na usalama wa watanzania.Na yule Chacha Wangwe mbona hukumtaja ? aliuliwa na nani ? mbona nasikia M a gwanda walimuua eti kweli,... please ninong'oneze ... halafu nasikia jamaa alosababisha accident yake ameachiwa juzi juzi ...
Kuna sehemu mtu amesema watu wasife.......je hao ni watanzania wa kwanza kufa tunataka serikali ya CCM itolee ufafanuzi utata wa vifo vya viongozi hao.jamani mnataka watu wasife? Planet yetu itawezaje kuhimili watu kama kifo hakitakuwepo?
Sokoine na Salome Mbatia wote waliuwawa kwa jari za barabra iweje moja umeitolea maelzo kuwa aliuliwa na wahujumu uchumi na mwingine umesema ajari ya barabrani nani alithibitisha hayo...Mbona nasikilia salome mbatia aliuwawa baada ya kugundulika kuwa iko siku ataboa siri ya pesa za EPA maana yeye ndiyo aliepewa jukumu la kuzipokea kutoka kwa makampuni yalio kuwa yanazichukua benki kuu....
- Karume - Huyu aliuawa na mwanajeshi ambaye baba yake aliuawa na Karume akimwita ndumila kuwili
- Edward Moringe Sokoine - Huyu aliuawa na wahuju uchumi akina Rashid Kawawa na Cleopa Msuya
- Kighoma Malima - Huyu aliuawa na Kikwete kwa presha baada ya kufungiwa akaunti zake za Uingereza
- Horace Kolimba - Huyu aliuawa na Mkapa na Nyerere baada ya matamshi yake kwamba ccm imekosa mwelekeo
- Imrani Kombe - Aliuawa na Mkapa baada ya kutuhumiwa kumpigia debe Mrema
- JK Nyerere - Aliuawa na Gonjwa Kubwa
- Salome Mbatia - Aliuawa na Ajali za barabarani, labda ilikuwa ajali ya kupangwa.
Wote hawa wameuwa kwa Ajali za barabarani, labda ilikuwa ajali ya kupangwa.