Enzymes
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 4,332
- 3,008
Ktk ufuatiliaji wangu ktk muda mfupi takiribani miezi 5 kwa ndg, jamaa na rafiki zangu wa karibu wafikishwapo Hospitali ya Rufaa Bugando nimebaini mapungufu haya:
1. Vifo vya wagonjwa wengi wa operationi ndogo ndogo (mf. uvimbe kooni, uvimbe tumboni,nk). Mfano wiki 2 zilizopita mama wa makamo amefanyiwa upasuaji wa uvimbe tumboni. Baada ya upasuaji huo hali ya mgonjwa ilibadilika na kuwa mbaya zaidi, BORA hata wasinge mpeleka Hospitali. Mnamo tarehe 21/02/ kasafirishwa kwa ndege kwenda Dar-Mhimbili, kafariki hata kabla ya Matibabu!! Pole kwa wasifiwa wote!!
Mwaka jana pia kati ya Nov-December 2015 kuna mdada alipoteza Maisha kwa upasuaji mdogo tu wa uvimbe kooni!! Kabla ya hapo alikuwa tu vizuri kiasi, japo ugonjwa hauzoeleki mwilini alipenda aondokane na tatizo hilo. Gafla vijana wetu wa GPA wakamuondolea uhai mdada wa watu!!
Maajabu hata Wake za madaktari wa Bugando hupelekwa India kwa Matibabu.
2. Huduma za Mapokezi ni za Ajabu sana. Ukiwa na mgonjwa alie serious anaweza kukata roho Reception. Hakuna cha PRIVATE wala GOVERNMENT kwa utofauti. Utendaji wake ni ule ule wa mazoea. Kuna Manesi hapo wakigundua mgonjwa wako ni wa BIMA, wanavyong'aka utadhani mbwa!! Huduma zao hutapata kwa urahisi na ukarimu!!
3. Hata kama una umwa leo na mguu una hitaji operation, utapangiwa Operation tarehe 28/3/.
Jameni sianzishi uzi huu kwa lengo la kuahalibia biashara au huduma zenu.
Napenda mjisahihishe mapungufu yenu hayo, ili tufaidi huduma zilizo nzuri.
HAPA DUNIANI HAKUNA MWILI WA KUCHEZEA, KOSA DOGO UNAUA MTU.
Wabunge tungeni sheria kali za kuwashitaki madaktari wote wazembe.
Kama tatizo ni Exposure la Madaktari wenu, fanyeni Exchange Programme na nchi ya India , Dr. anakaa India miaka 5, siyo kutumalizia Raia!!!