CHE GUEVARA-II
JF-Expert Member
- Jun 17, 2010
- 571
- 156
Natafuta vifaranga vya samaki Sato (sijui nd'o Tilapia?!)
Nahitaji wachache tu.
Niko Dar.
Nani anaweza kuniuzia?
Kifaranga mmoja ni bei gani?
Natafuta vifaranga vya samaki Sato (sijui nd'o Tilapia?!)
Nahitaji wachache tu.
Niko Dar.
Nani anaweza kuniuzia?
Kifaranga mmoja ni bei gani?
Tilapia ni sangara sio sato, rekebisha thread yako, halafu kama unahitaji kuzalisha hao fikiria kununua samaki wakubwa walio tayari kutaga mayai hapo utaweza kupata kiasi kikubwa kwa bei nafuu na muda mfupi
Vifaranga wanapatikana SUA na ushauri wa kitaalamu ni bure
Hapo SUA wanao pia vifaranga wa kuku hawa chotara?
Vifaranga wa kuku chotara utapata kwetu, rhode, kenbro na kuchi
Karibu sana
Dar Mkuu, Soma Pm ili tusichanganye madaUnapatikana wapi, na bei za vifaranga zikoje?
Dar Mkuu, Soma Pm ili tusichanganye mada
Nimeshakutumia PM tayari.
Asante.
Huyu nimemtumia PM kwamba nitampataje lakini bado hajajibu lolote.
WaTz tukoje?
Mbona hatuko serious katika vitu tunavyofanya/ tunavyoanzisha?
mkuu nimeshindwa kukujibu sababu nilikua mbali na access ya net
wadogo wameisha mbaya zaid wamebaki wa kuzaa na wakubwa sana mmoja anazaa hadi 1000 sasa nikikuuzia hao utapata taabu ya kuwasilisha nilitaka nikuuzie wale wa sio zaa yaani wakiwa kumi wanabaki kumi na limitation yao hivyo inakua rahisi kuwalisha na kuwahudumi
naenda mwanza hivi karibuni kuchukua wale waso zaa kwani nina orda nyingi sana
Niuzie hao wanaozaa.mkuu nimeshindwa kukujibu sababu nilikua mbali na access ya net