M Mary Glory Senior Member Mar 20, 2011 124 20 Apr 26, 2011 #1 Vifaranga vya kuku wa kienyeji vinauzwa kwa bei poa kabisa.jipatie ufuge.mawasiliano tu 0764-439723
Amoeba JF-Expert Member Aug 20, 2009 3,289 781 Apr 27, 2011 #5 Mary Glory said: Vifaranga vya kuku wa kienyeji vinauzwa kwa bei poa kabisa.jipatie ufuge.mawasiliano tu 0764-439723 Click to expand... Tangazo lako limekaa kingumbaru!! AJIRI MTU WA MARKETING.
Mary Glory said: Vifaranga vya kuku wa kienyeji vinauzwa kwa bei poa kabisa.jipatie ufuge.mawasiliano tu 0764-439723 Click to expand... Tangazo lako limekaa kingumbaru!! AJIRI MTU WA MARKETING.
The Boss JF-Expert Member Aug 18, 2009 49,111 115,906 Apr 27, 2011 #6 shilingi ngapi na wapi? mnatoa usafiri hadi nyumbani?
A abrisalim Member May 17, 2011 35 7 May 23, 2011 #8 vipi mkuu naiyo biasha yako yavifa.. vakienye.. teja nakuuliza mbona kimya?
K Kabachubya Member Oct 6, 2009 87 10 May 23, 2011 #9 Mary Glory said: Vifaranga vya kuku wa kienyeji vinauzwa kwa bei poa kabisa.jipatie ufuge.mawasiliano tu 0764-439723 Click to expand... Mambo vp Mary? mbona hii namba haipatikani?
Mary Glory said: Vifaranga vya kuku wa kienyeji vinauzwa kwa bei poa kabisa.jipatie ufuge.mawasiliano tu 0764-439723 Click to expand... Mambo vp Mary? mbona hii namba haipatikani?