D drswai Member Joined Jan 30, 2012 Posts 6 Reaction score 4 Nov 13, 2017 #1 Kukuona Chotara Sasso /Malawi/Kuroiler Vifaranga Umri tofauti Moshi/0784290808 /0624290808 Attachments image.jpeg 70.8 KB · Views: 44
P plasido divi Member Joined Feb 1, 2015 Posts 90 Reaction score 21 Nov 14, 2017 #2 Andika tangazo lako vizuri kama kweli unataka kufanya biashara.vifaranga ni vya umri gani,moshi sehemu gani na ni bei gani.
Andika tangazo lako vizuri kama kweli unataka kufanya biashara.vifaranga ni vya umri gani,moshi sehemu gani na ni bei gani.
D drswai Member Joined Jan 30, 2012 Posts 6 Reaction score 4 Nov 14, 2017 Thread starter #3 Asante. Bei /Umri Ni vigumu kuorodhesha ! Biko kuangalia siku 1 mpaka wiki 8 : pita Simu , Namba zipo Kwa ufahamu WA ziada!
Asante. Bei /Umri Ni vigumu kuorodhesha ! Biko kuangalia siku 1 mpaka wiki 8 : pita Simu , Namba zipo Kwa ufahamu WA ziada!
Good Father JF-Expert Member Joined Feb 28, 2014 Posts 10,320 Reaction score 18,599 Nov 16, 2017 #4 drswai said: Asante. Bei /Umri Ni vigumu kuorodhesha ! Biko kuangalia siku 1 mpaka wiki 8 : pita Simu , Namba zipo Kwa ufahamu WA ziada! Click to expand... Weka bei kutegemeana na umri wa vifaranga, ukisubiri kila mtu akupigie simu utasubiri sana. Watu wanakua convinced na bei ya kitu.
drswai said: Asante. Bei /Umri Ni vigumu kuorodhesha ! Biko kuangalia siku 1 mpaka wiki 8 : pita Simu , Namba zipo Kwa ufahamu WA ziada! Click to expand... Weka bei kutegemeana na umri wa vifaranga, ukisubiri kila mtu akupigie simu utasubiri sana. Watu wanakua convinced na bei ya kitu.