Jamani naomba kujuzwa kuhusu vifaa vya umeme vyenye uhakika pamoja na bei zake kuna hizi maiswichi za AVETA zina saketi breka je ni imara, waya zipi ni nzuri mwenye kujua anijuze
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.