Hapo ulipo nikitaka kuja kuendelea na hiyo saloon je?Mbezi Louis
Nadhani amepangisha sasa ameshavitoa hivyo vifaa labda.....Hapo ulipo nikitaka kuja kuendelea na hiyo saloon je?
Vipi umeshaviuza mkuu?Haina haja ya kuingia madukani kutafuta kifaa kimoja kimoja, kwa mtaji wako njoo uchukue saluni nzima ukaanze kazi.....
Hapa kuna.
1. Kiti cha kunyolea na kusubiria
2. Kabati ndogo ya vifaa
3. Vioo viwili vya ukutani
4. Pazia
5. Feni
6. Mashine ya kunyolea ya HOME CUT [emoji1018][emoji486]
Vyote kwa Shilingi 520k
Nicheki 0743123946View attachment 1635131
View attachment 1635132
View attachment 1635133
View attachment 1635134
View attachment 1635135
View attachment 1635136
View attachment 1635137
View attachment 1635138