Vifaa vya saloon ya kike vinauzwa 0719 818147

Vifaa vya saloon ya kike vinauzwa 0719 818147

zamzam dachi

Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
22
Reaction score
9
Nauza vifaa vya saloon

Steamer 1

Dreyer 2

Viti vya kawaida 4

Dish la kuoshea 1

Rollers zipo za kutosha kila saiz

Stand ya rollers 1

Vioo chambele na cha nyuma 2



Maongez yapo bei vitu vyoote 1.2m vipo hali nzuri buza abiola dar es salaam

0719818147 mawasiliano namba [hashtag]#0719818147[/hashtag] [hashtag]#hiyo[/hashtag] kwa muhitaji
 
Ebu niambie kwa ufupi faida yake ikoje maana najua wewe ni mzoefu Na ukizingatia Mimi ni mwanaume ko inabidi niweke mtu
 
Ni kuisoma namba ama namna gani? Mungu akubariki upate mteja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom