nauza vifaa vyote vya mziki na studio, vifaa vyangu ni mtumba toka uk /us /dubai na sa.
nina speaker za mid na bass, busta, mixers, mic, monitor speaker, sound card na vinginevyo vingi.....
napatikana dar es salaam, mikoani tunatuma kwa uaminifu au kukuletea kwa makubaliano!
Bei ni kuanzia 300,000 na kuendelea kulingana na kitu husika unachohitajii
mawasiliano: 0658644485
karibuni saana!