VIFAA VYA KUOKA CAKE

VIFAA VYA KUOKA CAKE

Shayla

Senior Member
Joined
Mar 25, 2014
Posts
193
Reaction score
129
Natafuta VIFAA VYA kuokea cake na mikate, material ya bati mwenye navyo au unamfahamu MTU anayetengeneza Kwa bei nzuri.
Ukitoa number na location kwa Dar nitashukuru sana
 
Ninayo Oven lakini kubwa kidogo ya Enkomak-Turkey mpya na makopo ya mikate 500g 400pcs na 1kg yako 200 yote original from Turkey na mixer ya 50kg mpya ipo kama unahitaji
 
Unauzaje kila kimoja?
 
Ninayo Oven lakini kubwa kidogo ya Enkomak-Turkey mpya na makopo ya mikate 500g 400pcs na 1kg yako 200 yote original from Turkey na mixer ya 50kg mpya ipo kama unahitaji
Tupe bei mkuu au ushauza?
 
Back
Top Bottom