Vifaa vya butcher

Vifaa vya butcher

tunauza vifaa aina zote vya butcher
mashine za kukata nyama 1,000,000/=
mashine za kasaga nyama 600,000/=
mashine za ku slace nyama 300,000/=
misumeno ya mashine 25,000/=
na accessories za butcher
tupo dar es salaam 0654567777

Mbona hizo mashine zina kutu? Halafu ukuta mchafu..

Kwenye hiyo misumeno hapo huo wekundu ni damu!?
 
Hiyo picha Namba mbili mbele, mbona misumeno kama vile ililkuwa inakata Mbao?
 
Hiyo picha Namba mbili mbele, mbona misumeno kama vile ililkuwa inakata Mbao?
kwakweli nimepost tangazo pamoja na picha lakini picture sizioni. nikajua hazijaingia. niameazima simu nyengine kuangalia sijaziona naomba nuongozo wako mkuu
 
kwakweli nimepost tangazo pamoja na picha lakini picture sizioni. nikajua hazijaingia. niameazima simu nyengine kuangalia sijaziona naomba nuongozo wako mkuu

IMG_1603.JPG
qoute uzi wako uingie hapo itakupeleka kwenye gallery
Chagua picha na uzipandishe
 
View attachment 975944 qoute uzi wako uingie hapo itakupeleka kwenye gallery
Chagua picha na uzipandishe

kuweka picture najua sanaaa ila nashangaa picture hazijaingia sizioni lkn watu wananiuliza kuhusu picture ya pili ina hivi na yakwanza ina hivi wakati mimi sizioni hizo picture
 
kuweka picture najua sanaaa ila nashangaa picture hazijaingia sizioni lkn watu wananiuliza kuhusu picture ya pili ina hivi na yakwanza ina hivi wakati mimi sizioni hizo picture

We mtu wa mkoa somaaaa hiyo, Kwa kiswahili wanaita ujasilia mali.
 
Back
Top Bottom