Head Gelo Senior Member Joined Oct 7, 2018 Posts 122 Reaction score 210 Nov 8, 2018 #1 Habari wana jf Natafuta vitu vifuatavyo kwa bei nafuu kwa ajili ya biashara ya chips Shelf la kioo Flypan Jiko Meza ya mbao Na viti Kama unavyo na unataka kuuza njoo pm
Habari wana jf Natafuta vitu vifuatavyo kwa bei nafuu kwa ajili ya biashara ya chips Shelf la kioo Flypan Jiko Meza ya mbao Na viti Kama unavyo na unataka kuuza njoo pm
N Ngariba1 JF-Expert Member Joined Jan 12, 2017 Posts 1,900 Reaction score 4,041 Nov 8, 2018 #2 Ukihitaji mashine ya juice ya miwa niambie. Iko hapa Dom.