Habari wana JF, ninauza vifaa kwa ajili ya biashara ya mgahawa, bei ni maelewano. Vifaa hivyo ni fridge kubwa nzuri ya Samsung, viti vya kisasa 10 na meza zake 4, kabati la kioo, meza tatu kubwa na ndogo mbili, makasha(kreti) manne ya soda, majiko, vyombo mbalimbali(sufuria,chupa za chai, vikombe n.k), feni ya juu.
Pia fremu(chumba cha biashara) ipo na nimelipia mpaka January 2018, fremu ipo Tegeta Kibaoni opposite na jengo la Kibo Complex. Unaweza kununua vitu tu au vitu na fremu na nikakuachia kwa maelewano.
Sababu ya kuuza ni mimi kuhamia mkoani kikazi, hivyo management imenishinda.
Mawasiliano: 0759095993
Karibuni sana wadau, ushauri wa hiyo biashara ntakupa bure.