sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,406
- 19,375
izo laki tatu ulizo andika ingekuwa zinapatikana ki rahisi rahisi hivyo ata wewe ungefungua account ya youtube uanze kutengeneza pesa...maisha hayajawa rahisi kiasi hicho
Si wakaona kaka yao millard ayo kawaachia uwanja kwa kuacha kupost WCB, vijana wakaona hii fursa sasa, na wameitumia kumpiga gepu refu millardHawa wakina middlesimba wanabeba viwaz YouTube utazan wamefunga robots kutrend kwao kitu chakawaida saaana an
Hiyo hela unanunua huti ngapi za jeje?View attachment 1439805
Kwa taarifa yako tu huyo mtoto anarekodiwa anachezea toys, mwaka jana pekee youobe wamemlipa bilioni 60 (60,000,000,000/=) sembuse ki laki 3 ambacho nyie mnaona nyingi ila marekani ni hela kwa siku kwa mbeba maboksi au anaelea wazee anaelipwa elf 30 kwa saa?? Pesa za mzungu tamu nyie
mkuu yotube wanalipa hadi dola 5 ( 10,000/=) pesa ya madafu endapo channel yako ina watazamaji wa ulaya na marekani.[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28] nimeona laki 3, 70 millioni na billioni 60 kama sijakosea embu niekee receipt ya hizo hela. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28]
Hizi story za vibandani ziacheni huko huko huku uje na vivid proof.
Hela sio rahisi hivo
Naona unataka kujijibu mwenyewe, Leo hii vyombo vya habari vilivyokuwa na umaarufu mkubwa nchini marekani kama cnn, cbs, msnbc, abc, nbc, n.k vimepitwa na fox news ambayo ilikiua inasua sua.Acha uchawi dogo media hata ziwe ngapi watagawana viewers na wewe ni mmoja wapo unaenda kuchungulia
Marekani kuna media zaidi ya 2000 ila zinafanya vizuri tu zotee na zimejizolea umaarufu kwa taarifa na sio bla bla
Mfano
CNN.
New York Times.
Washington Post.
Breitbart.
FOX News.
Huffington Post.
VICE.
USA TODAY
N. K
#Stayhome safe COVID-19 is everywhere
Ndo nani kakudanganya mkuumkuu yotube wanalipa hadi dola 5 ( 10,000/=) pesa ya madafu endapo channel yako ina watazamaji wa ulaya na marekani.
ila kwa views za huku africa youtube hulipa kwa wastani elfu 2 na ushehe kwa views elfu 1 (japo wapo wanapokea elf 5 kwa views buku kulingana na jampuni inayotaka itangaziwe matangazo yale ya youtube).
sasa kwa spidi ya views ya gii video najua wiki ikiisha views kama laki 3 hapo zimo, kwa views laki tatu hapo ukilipwa chini basi ni kama laki sita.
millard enzi hizo akipandisha tu hata video moja ya birthday ya shilole ana views nyingi tayari na alikuwa anapandisha videos kibao na zinahit, kijana hakuwa na mpinzani
View attachment 1439892
ila kama unadhani rahisi kufikisha hata views laki jaribu uone shughuli yake,
jii ni listi ya watu wanaolipwa zaidi na youtube, anaeshika mkia kwenye listi hii analiwa bilioni 30 *(30,000,000,000)
Usione korona ipo, hakuna shows ukadhani watu hawapigi pesa, msanii kama Diamond youtube inamrushiaga hela yake ya videos za gharama na anabakiwa na kitita cha maana tu
We endelea tu kubisha wakati hujui chochote, mimi binafsi sifanyi youtube ila nafanya shughuli za kuniingizia kipato mtandaoni kwa njia ya blog yangu, nina wadau nafahamiana nao wanapata ridhiki zao youtube.Ndo nani kakudanganya mkuu
hizo ni story za kwenye magazeti ebu fungua na wewe account yako tuone utakavyo anza kulipwa pesa ndefuView attachment 1439805
Kwa taarifa yako tu huyo mtoto anarekodiwa anachezea toys, mwaka jana pekee youobe wamemlipa bilioni 60 (60,000,000,000/=) sembuse ki laki 3 ambacho nyie mnaona nyingi ila kwa wezetu inanunulia jeans tu. hapa kuna kazi kibao za madereva mshahara elfu 46 kwa saa, laki 3 sio pesa kiivyo kwa mzungu,
View attachment 1439834