View from below: Without Kagame, the wolves will descend

View from below: Without Kagame, the wolves will descend

Aslam Aleikum bandugu (sans interahamwe mmoja hivi...anajijua)....naona bado hawa interahamwe bado wanabwabwaja upuuzi humu. Anyways, having been away on duties for quite sometime nimeona mabadiliko humu. The frequency ya hatred posts kutoka kwa interahamwe humu zimepungua sana. Hongereni sana akina mchambawima1, Koba, mng'ato, Talkandtalk et la. Ila tusilegeze kamba, we have to counter these dimwits relentlessly.

Ebhana eee, mnyarwanda tangu lini ukaongea kiswahili cha kibongo hivyo? ama kweli shukrani ya punda mateke. Umelelewa Bongoland sasa hivi unatuona tena hatufai??? Poa, mtajileta tu, hamkawiii kuchinjana chinjana kama kuku.....
 
Simple questions to all piece and tranquility seekers.
1. Which one is supreme between the Constitution and a man (no matter how strong he is)??
2. Do Africa need a strong person or strong institution (system)??
 
kuwa uyaone mwanangu, na nimekua nayaona mengi sasa. maajabu ni mengi sana.

yaani dunia nzima wanahimiza kulinda katiba za nchi zao lakini kuna vijitu vimavi vindorroob vinatamani rais wao avunje katiba agombee kwa mara ya 3!

kweli vichwa vya kuku nyinyi misukule wa kagame!
 
Simple questions to all piece and tranquility seekers.
1. Which one is supreme between the Constitution and a man (no matter how strong he is)??
2. Do Africa need a strong person or strong institution (system)??

Quick answer
1. Neither one but rather the people who own it!
2. we need strong institutions like the ones we are building in Rwanda and I also think we should stop pretending that we have ones, luckily we the people of Rwanda under Kagame leadership will soon be there
 
hivi huko rwanda hamna mitandao ya kijamii mnayoweza kujadili mambo yenu? kila issue ya maisha yenu mnaileta kwenye mitandao ya watanzania. bila tanzania ninyi hamuwezi kuvuma na kutangaza propaganda?

au kwasababu mliishi hapa tukawalisha, tukawapatia vyoo vya kunyaa mavvi tukawapatia mashamba ya kulima na kila kitu ili mkishiba mrudi kwenu mkatutukane?

Ni swali zuri sana kama Kagame anafanya vizuri, kwa nini wanashindwa kujadili mafanikio na matatizo yake huko huko kwao? Ukiwa Rwanda lazima umsifie vinginevyo... Na hapa ndio najiuliza kwa vile Kagame hawezi kuishi milele, je huko mbele itakuwaje? Huwezi kujenga taifa kwa mtu, nchi imara ni serkali imara, ni sheria zinazolinda watu wote, ni haki kwa wananchi, ni fursa sawa kwa maendeleo ni uhuru wa watu. Hadi uhuru wa mawazo na uhuru wa kisiasa. Jiulize leo hali ya Rwanda ni sustainable? Au inategemea nguvu za vyombo vya dola na usalama wa taifa???? Tafakari, funguka na chukua hatua!
 
Back
Top Bottom