SCOOBY DOO
Member
- Dec 16, 2013
- 76
- 69
Wana jamvi, kwa muda mrefu mmemsikia Naibu wa Wizara ya Mawasiliano Mhe Makamba akiipigia debe sana kampuni hii mpya ya mawasiliano iliyotoka Vietnam,
leo ndo nimepata taarifa vizuri kuhusu hii kampuni kuwa ni kampuni ya kitapeli na kwa ushahidi naomba uingie kwenye website yao ambayo ni Home website yao inanesha kuwa "Sorry we closed all BUSINESS" lakini pia mwanajamvi naomba ufuatilia namna wanavyoingia mkataba na wananchi wanapochukua viwanja, taratibu zao zote zimejaa utapeli.
Mhe David Kafulila naomba ufuatilie na hili ni hakika ni bomu lingine kubwa ambalo litamuondoa Makamba.
Nawasilisha
Sorry we closed all business.