HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 609
- 562
- Thread starter
-
- #61
Hizi ni dini za kikoloni ndani ya WAAFRIKA kwani zililetwa na wakoloni Afrika.Dini za kikoloni ni zipi! Ukiristo au uisilamu? Ziweje za kikoloni wakati zilianzishwa sehemu moja, uarabuni.
Kwa akili yako fupi ni wapi umeambiwa MIZIMU haikuumbwa na MUNGU?Hata mseme nn hatuachi kuabudu Mungu aliyetuumba,wewe kma unaona ni upuuzi umekuja Na meli ni Sawa ila tu mkumbuke kufa utakufa Na utaenda kueleza hzo Akili za kuabudu mizimu Na mawe ulizipata wapi?
Wachina,wahindi,wakorea,nk nao wamerudishwa kwenye upuuzi wa kutokuabudu ukristo au uislam?Yan shida yenu mturudishe Kwenye upuuzi wenu wa kuabudu mawe,miti Na mizimu?...Huu ni ujuha wa hali ya juu,hebu tuache Huu upuuzi.
Tunajua kwamba hii yote ni kutaka kujifariji kuaminisha watu kwamba Mungu hayupo ili uwe huru.
Yan ni hivi,
Mungu yupo
Kifo kipo
Siku ya hukumu ipo
Pepo Na moto vipo.
Sasa Nyie endeleeni kujificha Kwenye vikauli vyenu vya kijinga kwamba dini zimeletwa Na meli.
Haiwezekani uletwe Hapa duniani kisha aliekuleta asikupe utaratibu wa kumuabudu.
Mkuu nimepitia vitabu vya dini (Bible and Koran) sikuwahi kuona nabii, malaika wala mtume toka nchi za watu weusi. Mbaya zaidi angalia picha zote za shetani zinaonyesha shetani ni mweusi. Hii ina maana kwamba Bible na Koran haitutambui sisi watu weusi. Na hapo ndiyo napata jibu sahihi kwamba hao wakoloni walitutenganisha na Mungu wetu kwa kutulazimisha kuabudu Mungu wao.Habarini,
Hapa ni sehemu yetu ya kuelimishana juu ya kuwaamusha WAAFRIKA wote kuachana na dini za kuja na za kikoloni i.e: ukristu na uislam.
Tupia makara/maandiko na picha zinazoweza kuwaelimisha WAAFRIKA kujitambua na kuamka kwa kuelewa kuwa dini na madhehbu wanayofuata ni michongo ya kiuchumi tu kwani zote zimeingizwa AFRIKA na watu weupe i.e:wazungu na waarabu kwa minajili ya kujinufaisha wao na siyo kuwaandaa WAAFRIKA kwenda MBINGUNI kwanini haiingii akilini MUNGU atuache duniani tunahangaika na yeye akakae mvinguni.
Nina UHAKIKA kuwa MUNGU yuko hapahapa DUNIANI tunapoishi,kufa na kuzikwa hakuna cha ahera.
0.
TIME WILL TELL!!Mkuu nimepitia vitabu vya dini (Bible and Koran) sikuwahi kuona nabii, malaika wala mtume toka nchi za watu weusi. Mbaya zaidi angalia picha zote za shetani zinaonyesha shetani ni mweusi. Hii ina maana kwamba Bible na Koran haitutambui sisi watu weusi. Na hapo ndiyo napata jibu sahihi kwamba hao wakoloni walitutenganisha na Mungu wetu kwa kutulazimisha kuabudu Mungu wao.
Wazee wetu waliomba mvua kwa imani zao na mvua zilinyesha. Lakini pia waliomba magonjwa au mabalaa yakaondoka. Sasa hawa viongozi wetu wa dini Kuna kiongozi gani aliomba mvua ikanyesha? Iko siku tutamrudia Mungu wetu. Na hii ya kulazimishwa Juma kumuoa Abdallah ndiyo itatukumbusha kwamba kuna Mungu wetu asiyependa uchafu huo.
TrueTIME WILL TELL!!