permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,485
- 15,298
Mfumo mbili ni mifumo ipi hiyoWakuu za mchana? Niombe kuuliza wapi naweza kupata vidonge vya Giseng kwa hapa Dar. Sina maelezo ya kutosha ya hii bidhaa, ila kwa kifupi nimeona katika vyanzo mbalimbali kuwa inaboresha mifumo yote ya mbili.
Kwa anayejua kuhusu upatikanaji wake, bei na uzoefu tunaweza kupeana updates hapa.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Vinapaswa kutumika vingapi?Nenda pharmacy utavipata ,katika pharmacy yangu nauza kidonge kimoja elfu 1000.
Ilikuwa typo, mifumo ya mwiliMfumo mbili ni mifumo ipi hiyo
1-adaptogen (adapt to internal/external stressors,Ndo MI nataka kujua inaboresha mifumo gani?
Hiyo ni supplements tu ina virutubisho vyote ambavyo tunatakiwa tuwe tunakula kila siku.
Nitakucheki nichukue hata 40 kwanzaHiyo ni supplements tu ina virutubisho vyote ambavyo tunatakiwa tuwe tunakula kila siku.
Karibu
Inasaidia pia ila itakulazimu utumie kwa muda wa mweziDr Msweden utuambie pia kama itatusaidia kuongeza muda wa kuzagamua maana kila siku tunasemwa dk1 tushaumaliza mwendo
Inamaana hyo ni dozi endelevu?Inasaidia pia ila itakulazimu utumie kwa muda wa mwezi
Hii Ali Express ndio nini?Cheki AliExpress, ukipata mzizi wake itakua poa zaidi na mbadala wake ni kitunguu saum....
meza punje Saba asubuhi na jioni kila siku tatizo lako litaisha.
Well said 👏👏Mleta mada nikushauri hebu jitahidi kula mlo kamili usitafute kuweka mwili saw kwa supplements kula lishe bora kwanza alafu ikotokea unapata mapungufu fulani ndio ule hayo mavidonge lakini huna lishe mziri na unakula vidonge unajitesa tu