tafuta matibabu ktk hospital kubwa haraka sana sio dalili nzuri kabla haijawa kansa ya koo pole sanahabari!
naomba kujuzwa vidonda kama vipere ndan ya kolomeo ni tatizo gani naona vinanitoka mara kwa mara na vinatibikaje! vinanitesa nikila hata sipati radha yachakula nisaidien kunijuza tafadhari