Unaweza kutengeneza beat bila kujua kupiga chombo chochote, ila angalau uwe unaujua Muziki kwa maana ya Codes, Keys, Harmony, Flat codes ama keys n.k, angalau utakua beat maker (Sio producer) mzuri!ivi mkuu ili kutengeneza beats lazima ujue kupiga chombo chochote ?
daah hizo ulotaja sijui hata kimoja !! Inabidi nijifunze aisee niwe napiga izi vitu maana inaonekana raha sana kucheza cheza na midundo!Unaweza kutengeneza beat bila kujua kupiga chombo chochote, ila angalau uwe unaujua Muziki kwa maana ya Codes, Keys, Harmony, Flat codes ama keys n.k, angalau utakua beat maker (Sio producer) mzuri!
binafsi natumia mx player app iko vizur mkuuPoweramp ni nzuri upate pro
sawa mkuu ngoja nimtafute mwalimu tuprogram zipo nyingi avs editor ,adobe premier ila muhimu ingia class
Nachaji simu nitakuja kuchangia ktk video production and editing ..
Nadhani ungerekebisha Swali lako binafsi sijaelewa!Kuna uwezekano wa kutoa beats( i mean drums or any other instruments) kwenye music? Kama kuna application ya kufanya hivyo plZ nijuze