Videographer & photographer natafuta kazi

cantona55

Member
Joined
Apr 4, 2020
Posts
24
Reaction score
26
Habari zenu wakuu..

Mm ni videographer na photographer pia ni graphics designer..

Nauzoefu wa kazi hizo kwa mwaka Sasa.. na ninafanya kazi zangu( hizo apo CHINI) ila Sina vifaa vya production.

Nimeona ili nifanye kazi kwa umakini na uweledi wa hali ya juu.. NI vzur nitafute kazi kwny taasisi au kampuni yoyote ya video production.
Maana nitakapokuwa kwny kampuni yenye vifaa Kaz yangu itakuwa moja tu.. ni kufanya Kaz kwa ubunifu wa Hali ya juu Zaid...

Ahsanteni
88213227_790625331347017_1831850942413144064_o.jpg
 
Yeye ndio huyo ila kama hio ni picha ya mteja wako basi ninashaka na maadili yako
 
Mteja amekubali kufanyiwa kama tangazo?

Ila ungeweka na social media posters nione
 
Habari zenu wakuu..

Mm ni videographer na photographer pia ni graphics designer..

Nauzoefu wa kazi hizo kwa mwaka Sasa.. na ninafanya kazi zangu( hizo apo CHINI) ila Sina vifaa vya production.

Nimeona ili nifanye kazi kwa umakini na uweledi wa hali ya juu.. NI vzur nitafute kazi kwny taasisi au kampuni yoyote ya video production.
Maana nitakapokuwa kwny kampuni yenye vifaa Kaz yangu itakuwa moja tu.. ni kufanya Kaz kwa ubunifu wa Hali ya juu Zaid...

AhsanteniView attachment 1582619
 
Attachments

  • Screenshot_20201001-111205.png
    Screenshot_20201001-111205.png
    80.7 KB · Views: 15
Habari zenu wakuu..

Mm ni videographer na photographer pia ni graphics designer..

Nauzoefu wa kazi hizo kwa mwaka Sasa.. na ninafanya kazi zangu( hizo apo CHINI) ila Sina vifaa vya production.

Nimeona ili nifanye kazi kwa umakini na uweledi wa hali ya juu.. NI vzur nitafute kazi kwny taasisi au kampuni yoyote ya video production.
Maana nitakapokuwa kwny kampuni yenye vifaa Kaz yangu itakuwa moja tu.. ni kufanya Kaz kwa ubunifu wa Hali ya juu Zaid...

AhsanteniView attachment 1582619
Kwa mfano nikakupa ofisi yenye vifaa vyote muhimu vya production una database ya wateja? Au unaweza kupata kazi za maana?
 
Wateja wapo na jina ninalo... Kuna mda had nakataa KAZI kutokana na ninapokod camera.. akiwa anaitumia camera yake.. hupelekea mm kuamua kukataa kaz. Na kuwapa rafk zang
 
Back
Top Bottom