Videoder imekuwa ya kiku... sana. Ina katabia ka kusizi siku hizi na kugandisha simu (unaandikiwa can't respond- wait or ok) ukipiga ok inakata na kuexit kabisa. Yani mimi nimeitoa mara kadhaa na kuirudisha nikidhani labda ni simu kumbe yenyewe tu
Shida nyingine hiyo kitu pale kwenye storage ukitaka kusevu iwe kwenye memorikadi kuna muda mwingine inakataa