Video

Video

goldie ink

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
5,634
Reaction score
9,151
Siku hizi mashabiki na wapenzi wa nyimbo za wasanii tofauti tofauti nchini na hata nchi za ughaibuni kumekuwa na tabia ya kupendelea kutizama video zaidi kuliko kusikia maneno yanayoimbwa katika nyimbo hizo, unaweza ukaimba matusi , kejeli , majivuno , mapenzi , siasa , na video ikiwa kali mashabiki wanakupokea vyema kabisa kwa furaha na bashasha tele, ikiwemo kukupongeza mitandaoni kwa kuachia video nzuri.
Pia wapo mashabiki wa muziki ambao hawapendi kuona video za wasanii wakiwa uchi uchi, wanakemea kwa nguvu zote lakini wanashindwa kuelewa kuwa kwa wakati wa sasa ni mfumo wa kisasa ( kidigitali ) lazima twende na wakati, tunaelewa jamii yetu inapenda kila aina ya uchafu japo siyo wote ikiwemo, ngono, pombe, matusi, usaliti wa mapenzi, majivuno ya pesa, n.k.....

Mfano, nyimbo ya mwanadada mahiri katika tasnia ya muziki aina ya hip hop nchini Tanzania, anaitwa ROSA REE ambaye alikuja nyimbo yake ya ONE TIME, kuna mstari anaimba hivi.

" One time for motherfxckers
Two times for motherfxckers
Nimekuja kuwachana y'all motherfxckers
Ain't never been scared of you mxtherfxckers. "

" nigga punguza nyege, acha mambo ya kisengxx "

Lakini watu wameipokea vyema hii ngoma wamefurahia,
lakini video ingekuwa ya uchi uchi mashabiki wangeponda na kulalama mashabiki msiwe mnafuatilia video tu hata maneno sikilizeni pia.
Mkiyakubali matusi basi na video za uchi uchi mzipokee vyema kabisa.

 
Kusikiliza na kuangalia video ni dhambi jamani tubadilike kwa kweli.
 
Back
Top Bottom