Aisee Africa sasa ukicheki video za nyimbo mpya aisee wadada ni wapo nusu uchi mwanzo mwisho hadi ukiona chart za afrika kwenye tv stesheni unatoa fasta. Zipo video nyingi ambazo hazijakaa poa kucheki na watu mchanganyiko naanza na, Nyimbo ya D'prince-Bestie , tiririka na wew video unaona haiko poa.
"Matusi Mwiko"