Video ya Yemi Alade ‘Na Gode’ Swahili Version

Nadhani ushiriki wake Coke Studio Africa umechangia yeye kuimba kiswahili maanake Juakali aliyekuwa anashirikiana naye alikuwa anachana kiswahili mwanzo mwisho na ilikuwa inabamba sana.
 
Nadhani ushiriki wake Coke Studio Africa umechangia yeye kuimba kiswahili maanake Juakali aliyekuwa anashirikiana naye alikuwa anachana kiswahili mwanzo mwisho na ilikuwa inabamba sana.
Sure, na pia mpenzi wake mpya BENIE yule wa SAUTI SOUL nae kaplay pati kubwa kuhakikisha YEMI anaimba kwa kiswahili.
 
KWELI KABISA
 
Sasa ukikosa useme asandee ya nini? Na yeye Bora aimbe where's her Johnny Tu.
Kajaribu mbona sisi tunachapiaga kiswahili japo ni lugha yetu? mahali pakuweka (R) tunaweka (L) Mfano Ramani unakuta mtu anasema Lamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…