Video ya wimbo wa Cheketua ipo tayari!

Video ya wimbo wa Cheketua ipo tayari!

chekechaaaa cheketuaa cheke..

Kuna habari njema zaidi kwa watanzania wote wapenda mziki hasa member wote wa JF kwamba video ya hili song la CHEKETUAAA ipo tayari imerokodiwa marekani na maproducer maarufu pale marekani na itarushwa muda wowote, hii video ni makini pia ni MFUNIKO WA CHUMA kwa video zooote hapa East Africa na ndani ya Bongoland.

Cheketuaaaaaaaaaa...

haija rekodiwa marekani ww,sehem kubwa imerekodiwa afrika kusini
 
Natamani ningekuwa nayajua haya mamuziki yenu ya ubongo wa fleva...

Nasikia tu sijui Alikiba sijui Daimond lakini ukinambia nani kaimba wimbo gani hata sijui.

Najua tu you are my number one wa Diamond.

Bora niendelee hivihivi

Hatuna tofauti!
 
Hahah kweli Diamond noma yan hata kama hufatilii au hupendi lakini lazima umjie raisi. Usipomsikia basi utamsoma tu no way out
 
chekechaaaa cheketuaa cheke..

Kuna habari njema zaidi kwa watanzania wote wapenda mziki hasa member wote wa JF kwamba video ya hili song la CHEKETUAAA ipo tayari imerokodiwa marekani na maproducer maarufu pale marekani na itarushwa muda wowote, hii video ni makini pia ni MFUNIKO WA CHUMA kwa video zooote hapa East Africa na ndani ya Bongoland.

Cheketuaaaaaaaaaa...

imerekodiwa SA,wadau wakubwa tushaiona na executives wa you tube wamepewa private screening yake wame predict siku ya kwanza itapata hits milioni 2..take or leave it
adios
 
Nimeichukua hiyo, asante.
 
hahahahahahahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaahahaahahahahahahahah

gahahahaahahahahahahahhh
 
imerekodiwa SA,wadau wakubwa tushaiona na executives wa you tube wamepewa private screening yake wame predict siku ya kwanza itapata hits milioni 2..take or leave it
adios

Ndoto za mchana. Executive s wa youtube ni nani?
 
Teh Teh video imerekodiwa marekani!
 
imerekodiwa SA,wadau wakubwa tushaiona na executives wa you tube wamepewa private screening yake wame predict siku ya kwanza itapata hits milioni 2..take or leave it
adios

Hahahahahahahahahahahahahahaahahahahahahahahahah!!!!!!! hakika itakuwa ajabu la nane la dunia.
 
  • Thanks
Reactions: Mpu
Back
Top Bottom